Maji kwa Polisi I Kisima cha maji chazinduliwa chuoni Kiganjo

  • | KBC Video
    215 views

    Mkewe waziri mwenye mamlaka makuu , Tessie Musalia, ameikabidhi serikali ya kaunti ya Nyeri kisima kipya kilichochimbwa katika bewa kuu la chuo cha mafunzo ya polisi wa kitaifa huko Kiganjo. Kisima hicho kilichozinduliwa mwezi Februari mwaka huu, ni sehemu ya mpango mpana unaongozwa na kudhaminiwa na wakfu wa Ushiriki Wema wa Bi Tessie ambao unajitahidi kuboresha maslahi ya maafisi wa polisi kupitia miradi ya maji katika vyuo mbalimbali vya mafunzo ya polisi kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive