Tamthilia ya "Echoes of War" Kutoka Butere Girls Yachochea Mjadala Mkali Nchini

  • | K24 Video
    241 views

    Tamthilia ya shule kutoka Butere Girls High School, inayojulikana kama Echoes of War, imezua mjadala mkubwa kitaifa kutokana na maudhui yake yenye uzito. Lakini ni nini hasa kinachojadiliwa kwenye mchezo huu wa kuigiza?