Vita dhidi ya ukeketaji

  • | Citizen TV
    236 views

    Ukosefu wa uhamasisho miongoni mwa wenyeji wa kaunti ya Garissa umetajwa kuwa sababu kuu inayochangia kwa ongezeko la visa vya ukeketaji eneo hilo.