Haki kwa Agnes Wanjiru

  • | Citizen TV
    196 views

    Viongozi wanawake wa kaunti ya laikipia wanazidi kuishinikiza serikali ya uingereza kufidia familia ya Agnes Wanjiru anayedaiwa kuuwawa na mwanajeshi wa Uingereza Zaidi ya miaka 13 iliyopita mjini Nanyuki.Viongozi hao pia wamewataka wanajeshi hao kuwafidia wakazi wote wa laikipia walioumizwa ama kuuwawa na vilipuzi vilivyoachwa na wanajeshi hao baada ya mazoezi yao.