Gavana Wamatangi amekamatwa na maafisa kutoka Tume ya EACC leo

  • | Citizen TV
    6,016 views

    Maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC wamemkamata gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi kwenye uchunguzi wa tuhuma za ufisadi