Michuano ya kwanza ya kandanda kwa kina dada yaandaliwa Kericho

  • | Citizen TV
    197 views

    Mashindano ya mchezo kwa kandanda kwa kina dada kwa mara ya kwanza yameng'oa nanga katika Kaunti ya Kericho. Mashindano hayo ambayo yataendelea kwa siku tano fululizo. wadau wamesisitiza kuwa kuna haja ya kuwahusisha kina dada katika mashindano ya michezo mbalimbali katika jamii.Mashindano hayo yatahusisha timu ishirini na nne ambapo michuano ya finali yatafanyika katika uwanja wa Kiprugut Chumo. mshindi atarudi nyumbani na Shillingi millioni Moja pesa taslimu.