Mashindano ya magari ya EA Equator Classic yatafanyika Mei 1-3 Taita Taveta

  • | Citizen TV
    286 views

    Mashindano ya magari ya Afrika Mashariki Equitorial Classic Rally yatafanyika mei tarehe moja hadi tatu katika kaunti ya Taita Taveta. Waandalizi wamesema tayari washiriki 20 wamethibitisha kushiriki mashindano hayo na wana matumaini madereva zaidi watajitokeza. Aidha serikali ya kaunti ya Taita Taveta ikisema kupitia mashindano kama hayo sekta ya utalii itaimarika kupitia wageni ambao watashiriki sawa na mashabiki.