Kabogo ataka wanaoishi karibu na misitu kufanya ukulima ndani ya misitu ili kuzuia uharibifu

  • | NTV Video
    594 views

    Waziri wa mawasiliano na teknolijia William Kabogo ameitaka idara ya misitu nchini kuruhusu wakazi wanaoishi karibu na misitu kufanya ukulima ndani ya misitu hiyo ili kuzuia uharibifu zaidi wa miti inayoendelea kupandwa kwenye msimu huu wa mvua.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya