Idara ya elimu kuhakikisha vituo vya kutoa ushauri kwa wasio ona vitapanuliwa

  • | NTV Video
    32 views

    Idara ya elimu imetangaza kushirikiana na taasisi za watu wanaoishi na ulemavu wa macho kuhakikisha vituo vya kutoa ushauri kwa walio na changamoto ya kuona vinapanuliwa nchini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya