Maafisa-2 wa wizara ya afya wasimamishwa kazi kwa kuhusishwa na sakata ya upandikizaji wa viungo

  • | KBC Video
    56 views

    Maafisa wawili wakuu wa wizara ya afya wamesimamishwa kazi, huku serikali ikiendeleza uchunguzi kuhusu madai ya sakata haramu ya upandikizaji viungo, ambayo imetikisa taifa katika kipindi cha wiki moja iliyopita. Waziri wa Afya Aden Duale, pia ameagiza kusitishwa kwa taratibu za upandikizaji wa figo katika Hospitali za Mediheal. Wakenya walioathiriwa na sakata hiyo pia wamehimizwa kuandikisha taarifa na polisi ili kusaidia katika uchunguzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive