Wakazi wa Amagoro wahofia kufurushwa

  • | KBC Video
    51 views

    Familia-32 katika eneo la Amagoro, kaunti ya TransNzoia zinadai ipo njama ya kuwazuia kurithi ardhi ya ekari-1500. Familia hizo zinadai mtu ambaye hawakumfichua anahodhi wasia unaobainisha ugawaji wa ardhi hiyo lakini amekaidi kuweka wazi yaliyomo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive