Rais arejesha mswada wa mkinzano wa maslahi wa mwaka-2023 bungeni

  • | KBC Video
    450 views

    Rais William Ruto amerejesha muswada wa mkinzano wa maslahi wa mwaka-2023 bungeni ili ukadiriwe upya. Akiongea wakati wa hafla ya kuapishwa kwa mawaziri wawili na makatibu-14 wapya katika ikulu ya Nairobi, kiongozi wa taifa alisisitiza haja ya ushirikiano baina ya mabunge yote mawili ili kuhakikisha taifa linatunga sheria faafu ambayo itapiga jeki vita vya kutokomeza ufisadi ipasavyo. Muswada huo unanuiwa miongoni mwa masula mengine kuzuia maafisa wa serikali kutumia nyadhifa zao kushawishi maamuzi ya wafanyakazi wengine wa serikali kwa maslahi yao ya kibinafsi ama kushiriki katika shughuli za biashara za serikali. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive