Usaili wa makamishna wa IEBC kusitishwa wikendi ya Pasaka

  • | KBC Video
    82 views

    Mchakato wa kuwatafuta makamishna wa tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC unaelekea ukingoni, huku jopo la uteuzi likitazamiwa kuhitimisha mahojiano alhamisi wiki ijayo. Na huku jopo hilo likijiandaa kuchukua mapumziko ya wikendi ya Pasaka, wawaniaji watano walisailiwa leo, huku baadhi wakiahidi mageuzi ya kimsingi iwapo watateuliwa kama vile kutenganisha tarehe ya uchaguzi wa Urais na ule wa nyadhifa nyingine. Ben Chumba na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive