Tanzania yatishia kufunga biashara na Malawi na Afrika Kusini

  • | BBC Swahili
    15,469 views
    Tanzania imeonya kwamba huenda ikapiga marufuku kuingizwa kwa bidhaa za kilimo nchini humo kutoka Malawi na Afrika Kusini. Tanzania inasema kwamba amri hii itaanza kutekelezwa ikiwa mataifa hayo mawili hayataondoa vikwazo vya kibisahara dhidi ya bidhaa kutoka Tanzania ifikapo Jumatao wiki ijayo.