"Hakuna kutoa kibali cha kuingiza mazao yoyote ya Afrika Kusini na Malawi"

  • | BBC Swahili
    84,080 views
    Tanzania inapanga kuzuia uingizwaji wa mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuanzia Jumatano Aprili 23, 2025, endapo nchi hizo hazitaondoa vikwazo vya kibiashara dhidi ya mazao ya Tanzania Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Hussein Bashe, amesema hayo kufuatia uamuzi wa Malawi wa kuzuia uingizaji wa bidhaa kutoka Tanzania kama vile unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. #bbcswahili #tanzania #kilimo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw