Wakazi wa Muragara waomba kurejeshewa maafisa wa polisi wakilalamikia kudorora kwa usalama

  • | NTV Video
    285 views

    Wakazi kutoka kijiji cha Muragara, kaunti ya Kirinyaga wanaomba mamlaka kuwarejesha maafisa wa polisi waliokuwa wakihudumu katika kituo cha polisi cha eneo hilo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya