UCHAGUZI WA PAPA MPYA KUFUATIA KIFO CHA PAPA FRANCIS

  • | K24 Video
    519 views

    Kifo cha Papa Francis kitasababisha shughuli ya kuchagua Papa mpya wa Kanisa Katoliki duniani. Uchaguzi huu hufanyika baada ya takriban wiki mbili au tatu tangu kifo au kujiuzulu kwa Papa. Ian Keitany anazungumzia mchakato huo na majina yanayopigiwa upato kuchukua nafasi ya Papa Francis, ambaye alikuwa Papa wa kwanza kutoka Bara la Amerika Kusini.