"Hatutasusia uchaguzi bali tutazuia uchaguzi"

  • | BBC Swahili
    10,662 views
    Siku za hivi karibuni Heche amenukuliwa mara kadhaa akisema wapo tayari kuona chama hicho kinakufa kikipigania ukweli na si vinginevyo. Kupitia mikutano ya hadhara ya chama hicho amekuwa akihimiza msimamo wao wa No reforms no election, ambao wanamaanisha kuwa hawatasusia, bali watauzuia uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba nchini Tanzania. Mwandishi BBC Eagan Salla alifanya mahojiano maalumu na Heche #bbcswahili #tanzania #upinzani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw