PAPA FRANCIS AFARIKI DUNIA BAADA YA KUUGUA PNEUMONIA

  • | K24 Video
    85 views

    Papa Francis amefariki dunia leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 88. Kwa miezi kadhaa, alikuwa akikumbwa na matatizo ya kupumua na alikuwa amelazwa katika hospitali moja mjini Roma akitibiwa pneumonia na maambukizi ya mapafu.