Wanawake wahusishwa kwenye miradi ya kudhibiti hali ya hewa Migori

  • | Citizen TV
    64 views

    Mpango wa mageuzi katika kijiji cha Nyailinga kaunti ya Migori, unawaweka wanawake kama wahusika wakuu katika vita vya kimataifa dhidi ya mabadiliko ya tabianchi. Kampuni ya kupiga jeki kinamama katika kilimo na kawi hai, inaongoza mradi wa nishati mbadala kama uundaji wa makaa kupitia takataka na mbolea. mradi huo unalenga kubadilisha taka zinazoweza kuoza kutoka kwa vituo mbalimbali na masoko .