Mamia ya vijana kutoka Meru wakongamana Kianjai kupambana na dawa za kulevya

  • | Citizen TV
    119 views

    Vijana kutoka Kaunti ya Meru wameungana kwa nia ya Kupambana na Changamoto za jamii zikiwemo Magonjwa na dawa za kulevya. Wakizungumza Mjini Kianjai, Eneobunge la Tigania Magharibi walipokutana, Vijana hawa wamesema sababu yao ya kuungana chini ya Mwavuli wa Meru youth Voice, ni kujijenga wenyewe kwa wenyewe kupitia miradi ya Biashara kusudi waweze kujitegemea.