Maandalizi ya mazishi ya Papa Francis yaanza Vatican

  • | Citizen TV
    2,524 views

    Papa Francis atazikwa chini ya siku sita kuanzia leo katika kanisa la St. Mary Major Basilica, tofauti na desturi ya MaPapa wengi waliozikwa katika kanisa la St Peter's Basilica