Ulimwengu wamuomboleza Papa Francis

  • | Citizen TV
    485 views

    Ulimwengu ulishirikiana na waumini wa Kanisa Katoliki kumuomboleza kiongozi wa kanisa hilo, Papa Francis, aliyefariki Jumatatu asubuhi akiwa na umri wa miaka 88