Maandalizi yanaendelea kwa mujibu wa taratibu za Kanisa

  • | Citizen TV
    623 views

    Mazishi ya Papa Francis yatafanyika jumamosi ijayo ya tarehe 26 mwezi huu. tarehe hiyo imeafikiwa na makadinali waliokutana Vativan kupanga mazishi hayo