Visa vya kuwepo kwa madaktari bandia vinaripotiwa

  • | Citizen TV
    96 views

    Madaktari wa mifugo kutoka kaunti ndogo ya Transmara Kusini, Transmara Magharibi na Transmara Mashariki sasa wanatoa wito kwa bodi ya madaktari ya Mifugo na serikali kufanya operesheni ili kuondoa madaktari bandia eneo hilo ili kuimarisha sekta hiyo