Wakaazi wataka miradi ya awali ikamilishwe na kaunti

  • | Citizen TV
    51 views

    Wakazi wa kaunti ya Kajiado wanataka Serikali ya kaunti hiyo Kutilia uzito kukamilisha miradi iliyokokwama na kuwalipa wanakandarasi kwenye bajeti ya mwaka ujao wa kifedha badala ya kuanza miradi mingine mipya