Walikuwa wakijenga choo cha kaunti wakati wa usiku

  • | Citizen TV
    124 views

    Huzuni imetanda eneo la Bushiri eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega baada ya watu wawili ambao walikuwa wakichimba choo cha kaunti kufariki