Wizara ya usalama kushirikiana na NACADA ili kujenga vituo vya kurekebishia tabia kwa vijana

  • | NTV Video
    23 views

    Wizara ya usalama imetangaza kushirikiana na mamlaka ya kukabili dawa za kulevya nchini NACADA kujenga vituo vya kurekebishia tabia kwa vijana walioathirika matumizi ya dawa ya kulevya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya