Zaidi ya wasichana 4,000 wamepokea fadhili kutoka shirika la SHOFCO

  • | NTV Video
    15 views

    Zaidi ya wasichana 4,000 kutoka familia za kipato cha chini jijini Nairobi wamepokea ufadhili wa masomo kutoka kwa shirika la Shining Hope For Communities (SHOFCO) kama sehemu ya mpango wa elimu unaolenga wanafunzi walio katika mazingira magumu kote nchini Kenya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya