Duale aahidi kurejesha imani ya umma katika hospitali zinazotekeleza upandikizaji wa viungo

  • | KBC Video
    157 views

    Waziri wa afya Aden Duale ameahidi kuhakikisha kwamba imani ya umma inarejeshwa katika hospitali zinazotekeleza huduma za upandikizaji viungo humu nchini. Waziri alisema wakati umewadia kwa serikali kurejesha imani ya umma katika sekta ya afya huku kukiwa na madai ya sakata ya uvunaji wa figo katika vituo vya afya vya hospitali ya Mediheal. Duale aliyasema hayo katika jumba la Afya aliposimika kamati ya uchunguzi huru kuhusu huduma za upandikizaji viungo nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News