KENYA YAADHIMISHA SIKU YA MALARIA, UTUPAJI OVYO WA NEPI WATAJWA KAMA CHANGAMOTO

  • | K24 Video
    20 views

    Kenya imeungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani, huku utupaji ovyo wa nepi zilizolowa na mashimo ya uchimbaji madini yakitajwa kuchangia ongezeko la malaria. Maadhimisho haya yamefanyika Kaunti ya Kwale, huku ushirikiano wa kimataifa ukisisitizwa kama njia ya kuutokomeza ugonjwa huo.