UHURU KENYATTA AWAAMBIA VIJANA: HAKUNA ATAKAYEOKOA AFRIKA

  • | K24 Video
    433 views

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amewataka vijana wa Afrika kusimama imara kama ngome ya mwisho ya kuibadilisha Afrika. Akihutubia viongozi wa wanafunzi kutoka Afrika Mashariki kwenye mkutano wa Guild Leaders’ Summit 2025, Kenyatta alisisitiza kuwa hakuna wa kuja kuokoa bara hilo, na ni jukumu la vijana kuchukua hatua sasa.