Wafanyabiashara walia na marufuku ya kuzuia mazao ya Tanzania

  • | BBC Swahili
    13,977 views
    Wafanyabiashara wa soko la Karonga nchini Malawi wameonesha kusikitishwa na kitendo cha serikali ya nchi hiyo kuzuia kuingiza bidhaa kutoka Tanzania nchini humo. Wafanyabiashara hao wa viazi na ndizi na baadhi ya mazao kutoka Tanzania walizungumza na @sammy_awami 🎥:@Bosha_nyanje #bbcswahili #tanzania #malawi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw