Jeneza la Papa Francis lilipowekwa katika uwanja wa St Peter

  • | BBC Swahili
    8,882 views
    Hivi ndivyo Jeneza la Papa Francis lilivyobebwa kutoka Kanisa kuu la Mtakatifu Petro hadi katika Uwanja wa St Peter's wakati misa yake ya mazishi ikiendelea na kuhudhriwa na maelfu ya waombolezaji, wakiwemo viongozi, mahujaji na makasisi. #bbcswahili #vatikani #papafrancis Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw