Kindiki awahimiza viongozi na wakazi kutoka eneo la kati wajiepushe na siasa za migawanyiko

  • | KBC Video
    217 views

    Naibu Rais Prof Kithure Kindiki amewahimiza viongozi na wakazi kutoka eneo la kati wajiepushe na siasa za migawanyiko na badala yake kuunga mkono ajenda ya serikali ya maendeleo. Akiongea katika soko la Kibingoti ,eneo bunge la Ndia,kaunti ya Kirinyaga,naibu rais alisema anasikitika kushuhudia wakazi wakizozana na kuharibu mali kutokana na tofauti za kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive