Maelfu ya watu wampa mkono wa buriani Vatican

  • | Citizen TV
    5,306 views

    Mazishi ya Papa Francis yaliuleta ulimwengu pamoja kumpa mkono wa buriani kiongozi huyo wa kanisa katoliki aliyeenziwa si tu na waumini wa kanisa hilo bali pia viongozi wa dini tofauti na viongozi wa serikali kote duniani. Watu laki mbili unusu kutoka matabaka mbali mbali wakiwemo viongozi wa mataifa 80 miongoni mwa rais william ruto waliungana kwa pamoja mjini vatican kutoa heshima zao za mwisho.