Wazazi wanasema wanasukumwa kulipa ada haramu huku shule zikifunguliwa kesho

  • | Citizen TV
    2,240 views

    Shule kote nchini zinatarajiwa kufunguliwa kwa muhula wa pili hapo kesho huku wasiwasi ukiibuka kuhusu ada zisizo halali zinazotozwa na baadhi ya walimu wakuu wa shule za umma. Wazazi na washikadau wa elimu wakilalamikia idadi kubwa ya wanafunzi wanaolazimika kuwacha shule kutokana na ada hizi. Na kama Mary Muoki anavyoarifu, maswali yanaibuka kuhusu elimu bure ya msingi nchini