Timu ya Taifa ya wachezaji ya U-20, Rising Stars wajiandaa kushiriki dimba la kombe la Bara Afrika

  • | TV 47
    9 views

    Timu ya Taifa ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20.

    Rising Stars wanajiandaa kushiriki dimba la kombe la Bara Afrika.

    Ni mara ya kwanza Kenya kushiriki kwenye dimba hilo.

    Kenya kuchuana na Morocco, Tunisia na Nigeria kwenye kundi B.

    Timu 4 bora kwenye dimba Hilo kufuzu Dimba la Dunia.

    Kelvin Wangaya, Amos Wanjala, Kibet baadhi ya wachezaji wa Junior Stars.

    Kenya kuchuana na Morocco Alhamisi tarehe 30 mwezi huu.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __