Uongozi wa Kanisa la PEFA Rongai

  • | Citizen TV
    180 views

    Waumini wa kanisa la PEFA mjini Rongai kaunti ya Kajiado walilazimika kuaanda Ibada ya Jumapili nje ya kanisa baada ya kanisa hilo kufungwa kutokana na mzozo wa uongozi.