Wakulima wa chai Walalamika Kebirigo

  • | Citizen TV
    83 views

    Wakulima kutoka kiwanda cha majani chai cha Kebirigo katika kaunti ya Nyamira, wameendelea kulalamikia madai ya ufujaji wa mamilioni ya pesa za wakulima katika kiwanda hicho.