Ruzuku Ya Uchimbaji Madini Kwale

  • | Citizen TV
    52 views

    Wizara ya madini imesema itahakikisha ruzuku ya shilingi bilioni 1.7 ya madini kwa serikali ya kaunti ya Kwale kutoka kampuni ya Base Titanium itatolewa kabla ya leseni ya kampuni hiyo kutamatika rasmi tarehe 30 mwezi Juni Mwaka huu.