Wanafunzi Wapewa Ufadhili wa Masomo kwa Kutunza Mbuga Tsavo

  • | Citizen TV
    50 views

    Ni afueni kwa wanafunzi watano kutoka kaunti zinazopakana na mbuga ya wanyamapori ya Tsavo baada ya kupata ufadhili wa masomo kutoka kwa shirika la african wildlife foundation (AWF).