Ubovu wa Barabara Ebusikaira

  • | Citizen TV
    128 views

    Wakazi kutoka kijiji cha Ebusikaira wadi ya marama ya kati kaunti ya Kakamega wanalalamikia ubovu wa barabara eneo hilo.