Matokeo ya Ligi kuu ya soka nchini Kenya

  • | TV 47
    4 views

    Matokeo ya Ligi kuu ya soka nchini Kenya.

    Gor Mahia 4-0 Mara Sugar.

    Gor Mahia inashikilia nafasi ya Tatu na alama 50.

    Mathare United 2-1 Tusker FC.

    Tusker inashikilia nafasi ya pili kwenye jedwali kwa alama 51.

    Ulinzi stars 4-0 FC Talanta.

    KCB 1-2 Police FC.

    Police inaongoza kwenye Jedwali na alama 52.

    AFC Leopards 3-1 Bidco United.

    Nairobi City Stars 0-2 Shabana

    Shabana inashikilia nafasi ya 4 na alama 46.

    Shabana kuchuana na Gor Mahia Wikendi hii.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __