Doris Aburi aonya dhidi ya kupunguza mgao wa NGAAF bila kuwashirikisha wananchi

  • | KBC Video
    5 views

    Mwakilishi wa kina mama kaunti ya Kisii Doris Donya Aburi ameonya dhidi ya kupunguza mgao wa hazina ya NGAAF bila kuwashirikisha wananchi. Mbunge huyo amekariri kuwa hazina hiyo imeboresha maisha ya wananchi mashinani na pendekezo la kupunguza mgao huo kutoka shilingi milioni 9 hadi 6 kutatiza mamilioni ya wakenya wanaotegemea fedha hizo kujikimu kiuchumi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive