Skip to main content
Skip to main content

Watahiniwa zaidi ya 990,000 waanza mtihani wa KCSE

  • | Citizen TV
    673 views
    Duration: 1:34
    Waziri wa elimu Julius Migos amesema usalama umeimarishwa katika vituo vyote vya kufanyia mtihani wa kitaifa wa KCSE wakati wanafunzi zaidi ya 990,000 wanafanya mtihani huo.