3 Nov 2025 10:20 am | Citizen TV 567 views Duration: 2:22 Huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini, wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wanaendelea kuhangaishwa na mafuriko yaliyosababisha uharibifu wa makazi na mali.