Skip to main content
Skip to main content

Mtoto wa gredi ya 2 wa Bungoma DEB alitoweka Jumatano

  • | Citizen TV
    1,055 views
    Duration: 2:01
    Familia moja kutoka eneo la Muyayi viungani mwa mji wa Bungoma inaishi kwa hofu baada ya kutoweka kwa mwana wao Caren Sikuku ambaye ni mwanafunzi wa gredi ya pili katika shule ya msingi ya bungoma DEB.