3 Nov 2025 10:32 am | Citizen TV 534 views Duration: 2:08 Idara ya vijana nchini inaendelea kupata afueni baada ya taifa la Kenya kushirikina na lile la Azerbaijan kufungua kituo rasmi cha ubunifu kuwezesha vijana kuelimika kiteknolojia na hata kibiashara.