3 Nov 2025 10:45 am | Citizen TV 6,760 views Duration: 1:48 Kinara wa chama cha DAP-K Eugene Wamalwa amesema kwamba muungano wa upinzani utashinda serikali ya Kenya Kwanza katika uchaguzi wa mwaka wa 2027.